Davortesha
Member
- Jun 19, 2021
- 83
- 119
Asante sana mkuu pia nimewaza labda mafuta ya alizeti nitoe singida nilete dodoma maana naona kama kwa sasa hayatakua na mpango wa kushuka beiKwa mtaji wa milioni 3 dodoma kuna biashara nyingi tu emu buni unacho weza na unachopenda kufanya.
Mfano milioni tatu (3) yako hiyo: 1. Unafungua saloon nzuri ya kiume. Kwa frem ya 150,000 mitaa ya chuo mf. Mipango au UDOM.
Milioni 3 uza nguo kama boxer kiume na kike au mabegi ya spesho.
M3 uza nafaka.
Muhimu zingatia location na biashara.