Rayvanny wa jamiiForums
Senior Member
- Apr 7, 2023
- 132
- 351
Inategemea kama ni maskini au matajiri.Hebu sema ukweli wako?
Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na urafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanae kwenye mahusiano ya kimapenzi?
#nyumayapazia
Duuh,
Hajazungumzia ngono Da Lu elewa swaliNdio inawezekana kama ngono sio kipaumbele chako.
Inawezekana kbisa ,marafiki zangu wengi ni wake za watu sasa ,na hakuna chochote zaidi ya kuheshimiana tu.
Dah. Imekaaje nilitaka uwe rafiki. Basi tena[emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089]
Unakuta ni marafiki kabla hata ya kuolewa na sikuwahi kumtaka kimapenzi ,iweje Leo kaolewa nimtake kama sio uchokozi.
Hatari sana...
Yanii wachache sana mnaweza hio! Big upUnakuta ni marafiki kabla hata ya kuolewa na sikuwahi kumtaka kimapenzi ,iweje Leo kaolewa nimtake kama sio uchokozi.
Hili ndio jibu la huu mjadala,mengineyo ni ubatili! Mpaka nahisi hata mwanamke kuruhusu ukaribu na mwanaume ni dalili ya kumuelewa au hili unalizungumziaje?