Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mkuu waambie wazee wa opereshi maalumu Kamishna Sabas ana swali lake hukuHii Spana sio ya nchi hiiView attachment 1584571
Hahahahahaha hata mataga wamekimbia huu izi wameshindwa kumjibiaKamishna anajifanya kavaa miwani ya mbao.!
Majibu ya kamanda tuyapate tafadhali.Amani iwe nawe Kamishna Sabas!!
Nimekusikia leo umesema wagombea wafanye kampeni sehemu ambazo wamepangiwa ratiba na Tume. Na mtamchukulia hatua mgombea yeyote ambaye anafanya kampeni sehemu ambayo hajapangiwa na Tume ya Uchaguzi!
Sasa swali langu kwako!
Waziri Mkuu wa Tanzania ndugu Kassim Majaliwa, anafanya kampeni za Urais kwa Ratiba ipi ya Tume ya Uchaguzi??? Ilitolewa lini na wapi???!
Je mmejipanga vipi kuzuia kampeni zake za mgombea Urais ambazo hazijapangiwa na Tume ya Uchaguzi???
Tukumbushe na Kanda anayotoka kwa urahisi was rejea.Wale ndugu zetu wa Lumumba FC na Mataga FC Naomba mumfikishie ili swali Sabas atujibu au msaidieni kumjibu
Lissu keshamaliza kazi ndugu. Magufuli kapiga magoti huko Iringa leo.Lisu amebakisha mikoa mitatu kumuunga mkono kulinda kupiga kura na kuzilinda hiyo ndiyo nguvu ya umma ndiyo dunia inasubiri kumuunga mkono
HahahahahahahaTukumbushe na Kanda anayotoka kwa urahisi was rejea.
Bila kuwasahau amani msumari,kawe almni,jingalao,yehodavaMataga
YEHODAYA Wakudadavuwa Magonjwa Mtambuka Dam55 Barbarosa HAMY-D bilacocochanel Crimea
njooni mumjibie Kamishna Sabas hukuππππ
Hili swali ni gumu zaidi ya maswali yangu jombaaa!!Kamishna na yule anaye weka vituo njiani utamdhibiti?
Marehemu Ruge alisema ogopa Mungu na Teknolojia. Mataga hawajufinzagiHawa maande hawajui tofauti ya kizazi cha sasa na kizazi cha kina wasira
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wanajua wapo enzi zile,bado watu hawajaifahamu nguvu ya technology.Marehemu Ruge alisema ogopa Mungu na Teknolojia. Mataga hawajufinzagi
Wamezuia channel zote za radio na television kuonyesha mikutano ya Lissu na hata kutangaza hoja zake. Wameweka mabango yao nchi nzima kiasi imekuwa ni uchafu badala ya matangazo ila mpakwa mafuta wa Bwana Tundu Antiphas Lissu anawakimbiza vibayaaaa!!! Hawaamini macho yao!!Wanajua wapo enzi zile,bado watu hawajaifahamu nguvu ya technology.
Wandishi was habari wanokuwa kwenye hizo press wanashindwa vp kuuliza maswali mujarabu Kama hayo?Amani iwe nawe Kamishna Sabas!!