Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #21
Wanaogopa kutekwa ndugu ππππWandishi was habari wanokuwa kwenye hizo press wanashindwa vp kuuliza maswali mujarabu Kama hayo?
Wanaogopa kushulikiwa na Sheria mpya na kanuni mpya za ndani ya kutekeleza kwa kishindo.Wandishi was habari wanokuwa kwenye hizo press wanashindwa vp kuuliza maswali mujarabu Kama hayo?
Bora sheria mzee. Unaweza kukamatwa ukitoka tu kwenye mkutano na usionekane tena kama ilivyokuwa kwa Azory GwandaWanaogopa kushulikiwa na Sheria mpya na kanuni mpya za ndani ya kutekeleza kwa kishindo.
Amani iwe nawe Kamishna Sabas!!
Nimekusikia leo umesema wagombea wafanye kampeni sehemu ambazo wamepangiwa ratiba na Tume. Na mtamchukulia hatua mgombea yeyote ambaye anafanya kampeni sehemu ambayo hajapangiwa na Tume ya Uchaguzi!
Sasa swali langu kwako!
Waziri Mkuu wa Tanzania ndugu Kassim Majaliwa, anafanya kampeni za Urais kwa Ratiba ipi ya Tume ya Uchaguzi??? Ilitolewa lini na wapi???!
Je mmejipanga vipi kuzuia kampeni zake za mgombea Urais ambazo hazijapangiwa na Tume ya Uchaguzi???
Ndugu hadi makada wote wa Lumumba hawajaja kumjibia humu Kamishna Sabas!! Sijui wako wanaangalia magufuli alivyopiga magoti leo Iringa???πππWakikujibu naomba Nitag.
Mbaya zaidi hawa waandishi wetu sijuhi wanauliza maswali gani huko kwenye press, ndio maan wamemabiwa kuanzia mwakani atleast uwe na Diploma.
Daaah hiyo mingese ya Lumumba yanachungulia uzii kwa hasira hasa ilooo lijamaa YEHODAYA punga sana.Mataga
YEHODAYA Wakudadavuwa Magonjwa Mtambuka Dam55 Barbarosa HAMY-D cocochanel Crimea
njooni mumjibie Kamishna Sabas huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magufuli anafurama kubebeleza wananchi ngebe zote mtoni chezea wananchi wewe sauti inatokea puani kabananishwa kisawasawaUnamzuiaje Waziri Mkuu kufanya ziada za kuhimiza wananchi kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Tupe ratiba ya Tume ya waziri mkuu kufanya kampeni ya uraisi nduguUnamzuiaje Waziri Mkuu kufanya ziada za kuhimiza wananchi kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Hahahaha kwa iyo kumbe Tume hawana Ratiba ya Waziri Mkuu kufanya kampeni ya uraisi???Hapo unamuamuru mbwa kumng'ata mmiliki wake,...na sidhani kama itawezekana labda awe mzee Kingunge Kambale Mweusi
Namsubiri sana humu Yehodaya πππDaaah hiyo mingese ya Lumumba yanachungulia uzii kwa hasira hasa ilooo lijamaa YEHODAYA punga sana.
Akikujibu nistueAmani iwe nawe Kamishna Sabas!!
Nimekusikia leo umesema wagombea wafanye kampeni sehemu ambazo wamepangiwa ratiba na Tume. Na mtamchukulia hatua mgombea yeyote ambaye anafanya kampeni sehemu ambayo hajapangiwa na Tume ya Uchaguzi!
Sasa swali langu kwako!
Waziri Mkuu wa Tanzania ndugu Kassim Majaliwa, anafanya kampeni za Urais kwa Ratiba ipi ya Tume ya Uchaguzi??? Ilitolewa lini na wapi???!
Je mmejipanga vipi kuzuia kampeni zake za mgombea Urais ambazo hazijapangiwa na Tume ya Uchaguzi???
Namsubiri hapa mkuu. Leo naona akamuweka misime pembeni ili aongee yeye magufuli amuone! Kumbe ndo amechoma kibanda moto πππAkikujibu nistue
Waziri mkuu sio mgombea uraisi ni mjumbe wa kamati kuu aweza fanya kampeni popote kwa kofia yake ya uanachama na ujumbe wa kamati kuu .Hilo uliloandika linawahusu wagombea uraisi sio wapiga debe ambao sio wagombea kama mimi na MJUMBE wa kamati kuu Kassimu MajaliwaAmani iwe nawe Kamishna Sabas!!
Nimekusikia leo umesema wagombea wafanye kampeni sehemu ambazo wamepangiwa ratiba na Tume. Na mtamchukulia hatua mgombea yeyote ambaye anafanya kampeni sehemu ambayo hajapangiwa na Tume ya Uchaguzi!
Sasa swali langu kwako!
Waziri Mkuu wa Tanzania ndugu Kassim Majaliwa, anafanya kampeni za Urais kwa Ratiba ipi ya Tume ya Uchaguzi??? Ilitolewa lini na wapi???!
Je mmejipanga vipi kuzuia kampeni zake za mgombea Urais ambazo hazijapangiwa na Tume ya Uchaguzi???
Ndugu Majaliwa kama mjumbe wa kamati kuu anayefanya kampeni za Uraisi anatakiwa awe na ratiba ya Tume. Tunaomba tusaidie basi ratiba yake ya kampeni kutoka kwa Tume kada maarufu.Waziri mkuu sio mgombea uraisi ni mjumbe wa kamati kuu aweza fanya kampeni popote kwa kofia yake ya uanachama na ujumbe wa kamati kuu .Hilo uliloandika linawahusu wagombea uraisi sio wapiga debe ambao sio wagombea kama mimi na MJUMBE wa kamati kuu Kassimu Majaliwa
mimi binafsi nafanya kampeni ya kuzunguka lakini ratiba ya mizunguko yangu ya nyumba kwa nyumba ya kumnadi Raisi sijapangiwa na tume
Hujatoa majibu. Majibu ni kutoa ratiba ya Tume inayomuonesha majaliwa akifanya kampeni za uraisi huku akiwa analindwa na polisi πnimeshajibu tayari
Amani iwe nawe Kamishna Sabas!!
Nimekusikia leo umesema wagombea wafanye kampeni sehemu ambazo wamepangiwa ratiba na Tume. Na mtamchukulia hatua mgombea yeyote ambaye anafanya kampeni sehemu ambayo hajapangiwa na Tume ya Uchaguzi!
Sasa swali langu kwako!
Waziri Mkuu wa Tanzania ndugu Kassim Majaliwa, anafanya kampeni za Urais kwa Ratiba ipi ya Tume ya Uchaguzi??? Ilitolewa lini na wapi???!
Je mmejipanga vipi kuzuia kampeni zake za mgombea Urais ambazo hazijapangiwa na Tume ya Uchaguzi???
Leo kajifanya kumuweka pembeni Misime kumbe yeye ndo ameharibu zaidi!!Huyo kabonyezwa tu kama swich ya honi ya gari.
Ukimuuliza ratiba zikoje, hawezi kujibu hilo swali. Pia ungemuuliza je ni halali kwa mgombea kusimama njiani na kusalimia watu kama anatokea point A kwenda point B