Swali kwako Kamishna wa Polisi Sabas

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Amekuja kujibu ila si umeona majibu yake?????

Badala ya kutoa ratiba ya Tume inayoonesha kampeni za Majaliwa kaja kutoa maelezo matupu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yehodaya anawaangusha sana Lumumba!
 
Sabas kaona Dr Mahera anazingua kaamua kujibu yeyeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Sijui ana cheo gani pale tume ya uchaguzi
 
Kamishna katumia nguvu nyingi kwenye Technologia ndio madhara yake sasa.
 
Na wajumbe wengine wa kamati kuu katika vyama vyao wanaruhusiwa kufanya kampeni popote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…