Elections 2010 Swali kwako Kikwete, utaua wangapi ili kuhakikisha ulaji?

Elections 2010 Swali kwako Kikwete, utaua wangapi ili kuhakikisha ulaji?

Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2006
Posts
5,490
Reaction score
229
Tanzania nzima wananchi wanapigwa na polisi, mabomu, virungu, risasi etc.

Haya yote ili kulazimisha wewe na familia yako muendelee kuitawala na kuifilisi nchi yetu.

Swali dogo kwako, Utaua wangapi mwaka huu?

Swali la nyongenza, baada ya miaka mitano utaishi wapi?
 
Baada ya miaka 5 anakwenda kupumzika The Hague. Huko kutakuwa halali yake.
 
Unategemea familia yako itaishi wapi?
 
kwanini majimbo karibia yote yaliyo lala sasa matokeo yanakuja kinyume nyume?
 
na yule haramia kinana ajiandae tu kukutana na hasira za wananchi muda si mrefu

Damu ya zitto muliyomwaga leo itawatokea puani
 
Back
Top Bottom