Nasikia wanaume wa dar wengi wao hulala sebureni kwa Dada au kaka zao.Sio kweli, acheni kujidanganya...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa Dar wanakula chips, wanapaka poda, wanasuka na kuvaa hereni kama dadazao....
Haa! Haa! Mwanaume wa Dar atume m-pesa? Ndo hao wanaoongoza kwa kusema njoo uchukue.Utanitag
Au na yeye anatuma mpesa???
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ohoooo!!!Zile suruali zao zinanzobana mapaja wanaziita "kamatia chini"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia wanaume wa dar wengi wao hulala sebureni kwa Dada au kaka zao.
Mhhh...kuna ushahidi katika hili mkuu?
Hahahaha..huu ni utani mkuu.Wanaume wa dar waoga kweli vita yao na makonda wanaigeuza kijanja iwe ya nchi nzima aiseee mwanaume mmoja wa mkoani wanashindwa kumng'oa mpaka wanaomba msaada kwa ka mwanamke ka kipare kasiko hata na jeuri ya kurudi nchini.
Wewe no me au keInavyosemekana kutokana na ubize wa maisha, stress na joto kali eti wanaume wengi sana wa dar...(sio wote ila ni % kubwa) hawana uwezo wa kuwaridhisha wanawake kimapenzi.
Wanaume wanapojiremba kupita kiasi ina maana gani?Tumeanza kuamka sasa wanaume wa dar... Mnasemaje nyie mijibwa ya mikoani..... Mkija huku mnatutilia aibu sana.chakula cha familia nzima wewe peke yako unafuta. . Hata mjipendekeze vipi hatuwakaribishi...mkija mnakera sana. Eti nipeleke uwanja wa Taifa ooh Mara baharini, Mara daraja lilijengwa baharini daaah tunawachoka kweli mkija huku..... Sisi tukija huko Dada zenu hata hatutongozi.wakijua tuu wa dar hahaaaaa mpk unawakimbia eti nyinyi mnanuka vikwapa halafu mnawasugua kama mnapiga mswaki... Kumbe wenzenu tunabembelaza... Kushikanashikana tuu ni masaa mawili bado mchezo wenyewe.nyie kulima tuu kama mang'ombe.... Viazi mnalima nyie cc tunavitengeza halafu mkija tunawapiga bei za maana... Wanaume wa mikoani mtaendelea kuwa wamikoani tuu... Na mtaendelea kuwa washamba tuu... Na sasa hivi mkitaka kuja huku mtakuwa mnalipia kwanza pale chalinze mnakuja mnatumalizia hewa tuu
Sasa unamtumia mtu hela service chaji mpaka alfu tano au kumi,sasa sibora achukue bodaboda au uber aje aifuate tu na tuweze kuonanaHaa! Haa! Mwanaume wa Dar atume m-pesa? Ndo hao wanaoongoza kwa kusema njoo uchukue.