SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

sasa kama kuna thread imeanzishwa kuhusu same topic kwa nini usiende kuchangia huko badala ya ku duplicate uzi mnatuchosha afu mnajaza servers za watu.
Punguza jazba elewa nilichoandika, nimesema kuna comment katika thread flan

Hiyo thread ni ile ya kumsifia Mange kuwa ni Hero/Heroine

Sasa kweli Mange (Mwanamke) awe bora kuliko wanaume Mil. 1 wa Dsm? Kweli?
 
Wanaume wa mikoani tunakula ugali mzuri mkubwa wa dona na samaki mkubwa...
the higher the food portion you take the stronger you become...
.
Nilikuwa Dar siku moja...nikamwona mwanaume mmoja anaagiza chipsi asubuhi ya saa tatu wakati mi naagiza supu na chapati 3...nilishangaa..!!
 
Mkuu my point is,wanaume wa dar dk mbili tu wazungu wanachoropoka
Tatizo la kumaliza mapema ni la mtu binafsi,mbona Kuna wanaume wa mikoani Wana wahi kumaliza mechi mapema,na siyo Wanaume wote wa Dar Wana hayo matatizo...
 
Nafikiri kuna vitu vya kuviangalia...

1.Chakula wanachokula
2.Kazi wanazofanya
3.Jinsi wanavyorespond kwenye hali ya hatari eg. panyaroad wanapofunga mtaa..[emoji38][emoji38]
4.Ufanisi wao katika mambo yaletayo heshima kwenye jamii..

Haya mambo
 
Punguza jazba elewa nilichoandika, nimesema kuna comment katika thread flan

Hiyo thread ni ile ya kumsifia Mange kuwa ni Hero/Heroine

Sasa kweli Mange (Mwanamke) awe bora kuliko wanaume Mil. 1 wa Dsm? Kweli?
wewe kwanza uko mkoa gani kwa mfano?
 
Naomba jamani ndugu zetu wa mikoani msituunganishe kwenye kundi moja na waliozaliwa hapa dar maana wengine tupo dar kikazi tu ila tabia za hawa baadhi ya wenyeji kiukweli zinatutia hofu
Kumbe ni Ukweli kabisa Mkuu

Hali ikoje huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…