Swali: Kwanini Bodaboda nyingi sasa hivi hazina Vioo vya pembeni, (Side mirrors)?

mimi ni mtumiaji sana wa pikipiki kwenye mishe zangu ila hii tabia inanikera sana, kwanza ni hatari sana kuangalia nyuma huku unaendesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…