nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Wataalam wa vyombo vya moto naomba kujulishwa, kwanini wanatumia kuhesabu kilomita ili ufike muda wa kufanyia service chombo cha moto, kwasababu kinachofanyiwa service sehemu ni injini ambayo hubadilishwa oil, air filter, oil filter, fuel filter nk
Sasa mbona injini kama hiyo ambayo imefungwa kwenye jenereta huesabiwa kwa saa ilizozunguka, wakati service yake ni sawa na ya chombo cha moto katika matengezo.
Nionavyo injini ya gari inachakaa mapema kuliko ya jenereta kwasababu muda mwingi gari inazunguka kuliko kutembea, mfano gari za viongozi muda mwingi zipo silencer ili kuwepo ubaridi "air condition" au kwenye mataa inabidi gari lisimame ikumbukwe bado injini inazunguka.