Swali:kwanini wanasemaga eti ukizaliwa Dar tu ni sawa na kumaliza degree?

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,587
Vigezo gani vinatumika kuhalalisha huu usemi niliokuwa naambiwa na M walimu wangu mmoja wa primary mzaliwa wa kimanzichana?

Na wanaozaliwa dar na wakasoma hadi degree manake wanaresit sio?

Watu wa Dar kujeni hapa
 
Ndio naisikia kwako hii..
Ongea ongea na watu utapata kusikia wakati tuko mashuleni boarding had vyuo ndo zilikuwa tambo za watoto wa Dar kwamba wa mkoani ukija dar ukaenda kariakor ukatoka salama ni sawa na kumaliza formsix
 
Ongea ongea na watu utapata kusikia wakati tuko mashuleni boarding had vyuo ndo zilikuwa tambo za watoto wa Dar kwamba wa mkoani ukija dar ukaenda kariakor ukatoka salama ni sawa na kumaliza formsix
Itakua enzi za boarding na vyuo za wahenga..hakunaga hayo siku hizi
 
Utandawazi unakua kwa kasi sana nowadays hata mtu anayeishi katika misitu ya kawetere chunya mbeya au katika malisho ya ng'ombe kishapu Shinyanga au katikati ya milima ya usambara magamba Lushoto Tanga,anaijua flyover kupitia Google.Usemi huo hauna mashiko nowadays wanaoendelea kuutumia wanawashwawashwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…