Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,576
- 3,094
kuanzia 30 ni lishangazi
yaani hapo amekwepa mishale mingi hakuna kitu hajaona
Huu ndio ukweliNadhani miaka 50+
Ni vichaaIla watu๐๐,, Kwahiyo maika30 ni shangazi
Ila usijidharau hakuna maskini dunianiRaha ya kuitwa shangazi uwe na hela sasa, "rich aunt" sisi makapuku ndio tunaitwa kwa herufi kubwa mishangazi....
Mie sisemi mdogo but sina 50 niitwe shangazi imenikera mijitu ya jf mingine ina boa sanaPole sana mkuu
Unasemaje shangazi?Hivi kwa mwanamke ni umri gani sahihi kuitwa mzee.?
Maana humu kila mtu utasikia lishangazi sasa mtu ana 32 au 34 unamwita mtu lishangazi .
Na wewe una 45 to 60 nani nilimmjomba??
Semeni tu ukweli
pole shangaziRaha ya kuitwa shangazi uwe na hela sasa, "rich aunt" sisi makapuku ndio tunaitwa kwa herufi kubwa mishangazi....
Sijajidharau nimeandika uhalisia sina pesa za kuitwa rich aunt nnazo kidogo za kubadili maharage, chainizi na nyama๐ zinazonifanya mimi kuwa mshangaziIla usijidharau hakuna maskini duniani
Nashukuru sanapole shangazi
vijana tupo kwa ajili yako๐ if you know what I meanNashukuru sana
Unaitwa tajiri sema sio yule mkubwa hauvumi lakini umoSijajidharau nimeandika uhalisia sina pesa za kuitwa rich aunt nnazo kidogo za kubadili maharage, chainizi na nyama๐ zinazonifanya mimi kuwa mshangazi
Hata wewe ni mmjombaUnasemaje shangazi?
Ni jina tu.Usichukie.๐๐๐Hata wewe ni mmjomba
Nalichukia sana mtu akikudharau mie mdogo sanaNi jina tu.Usichukie.๐๐๐
Pole sana mkuuMie sisemi mdogo but sina 50 niitwe shangazi imenikera mijitu ya jf mingine ina boa sana
Hii ni kikongwe kabisa, 30-45 lishangazi.Nadhani miaka 50+