Swali la ajira kwa waliomaliza bachelors za Computer Science ama I.T

Hali ya soko ajira si zuri sana kwa vile employers wengi ni wawekezaji wageni ambao wengi hawaamini graduates wa bongo kama wanaweza,afu si unajua kale kalugha kanasumbua.ushauri wangu wasomi tuwaje kujiajiri zaidi na kutengeneza ajira mpya kuliko kuajiriwa,kama mchangiaji mmoja alivyosema technologia inakua sana kazi za wataalamu kumi zinafanywa na 1,hii haiendani na uwiano wa graduates wa fani husika wanaozalisha vyuoni kila mwaka(think more entrepreneurialy).

Ningependa kujibiwa hii issue na mdau aliyesomea haya mambo wakuu,kama mpo naomba mchango wenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…