Swali la kibiashara

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
579
Reaction score
210
IKIWA NDIO SIKU YA KWANZA.

Umefungua garage yako ya kutengeneza magari!!! ukaipa jina la "BMW garage"

ukitengeneza magari ya aina ya BMW tu!!

LAKINI MPAKA KUFIKA SAA NANE MCHANA HAKUNA HATA GARI MOJA LILILOKUJA... ghafla inakuja gari ya TOYOTA VITS... anatoka mdada mmoja ndani ya gari na kukumbuka uliwahi kusoma nae chuo.... anaomba nae atengenezewe gari lake la VITS..... uwezo wa kutengeneza unao ila wewe katika plan yako unataka kutengeneza magi ya bmw tu.

Je utamkubalia kutengeneza gari lake au hapana.... na sabau ni ipi?
 
uamuzi ni wako wewe unataka ushauri kutoka kwa nani? garage si yako?
 
Khaah We vipi! kwanza umesema una uwezo wa kutengeneza VITS, pile tangu umefungua hamna mteja aliyekuja, sasa unataka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…