Swali la kichokozi: Pamoja na Watumishi hewa kuondolewa na Serikali kutokuongeza mishahara, mbona gharama za mishahara zinapanda kila uchwao?

Maana zile sifa sifa za tumbua tumbua ulikuwa mchezo wa kutafuta sifa za kijinga toka kwa wasojielewa
 
Gharama za mshahara zinapanda Kwasababu kila mwaka kuna ajira mpya

Just adding on your point
... .... .. Pamoja na ajira mpya wafanyakazi wengi wanapanda madaraja ooops (grades) hivyo lazima gharama zinaongezeka. Ingekuwa bora ukatuwekea idadi ya wafanyakazi wakati wa zoezi la wafanyakazi hewa na idadi yao hivi sasa. Bila kusahau ajira mpya kwenye sehemu mbalimbalia ambazo hazikuwepo.
 
You might have a point... lakini kumbuka haya
1. Ajira ilisimamishwa
2. Madaraja yalisimamishwa

HIYO EFFECT YA WAFANYAKAZI HEWA NA WA VYETI FEKI, UMEIONA KWEYE GRAPH? Kwa maelezo uliyoyatoa, nilitegemea graph ipande, ifike mwaka wa kuondolewa wafanyakazi hewa na wa vyeti feki, at least kuwe na significant drop ya gharama, then ipande kwa uliyoyasema...

Ulivyoongea ni as if baada ya kutoka walioondoka, wakaajiriwa wapya wa ghara ile ile kama walioondolewa na siku hiyo hiyo walioondolewa...

Kumbuka hili..
Wale wakurugenzi 8 waliotumbuliwa, watano walikuwa replaced emadiately wakati kesi bado inaunguruma... Kwa hiyo, waliotumbuliwa wakawa wanaendelea kulipwa mishahara.. Hii maana yake, kwa nafasi zile 5, mishara miwili ilikuwa inalipwa kwa nafasi moja.

Aliyetumbuliwa na mpya... THIS WENT ON FOR A YEAR.. na watumbuliwa wakaja lipwa..!!! UFAHAMU TU KWAMBA PARTLY, MISHAHARA ILIPANDA KWA SABABU YA MAAMUZI YASIYOFUATA TARATIBU TULIZOJIWEKEA
 
Mkuu tembelea wavuti wa utumishi kila siku ajira zinatangazwa na watu wanaajiriwa tatito nyie mkinunua bando mnakimbilia Instagram
Unazungumzia hizi ajira za kutangaza karibu na uchahguzi..!!? Uwe mkweli ndugu..!!! Intake za kutosha toka vyuo mbalimbali hawajaajiriwa muda sasa...
 
Hili jibu lako ni fact ama opinion?

Hebu njoo na takwimu ambazo zina justify ulichokisema. Vinginevyo labda unatufurahisha.

Halafu labda tunaishi Tanzania tofauti sana, unavosema suala la ajira mpya kwenye huu utawala.
Labda anamaanisha ajira za nyuma ya pazia,kuhusu takwimu tunalazimika kumpa muda ili atuletee zinazoeleweka.
 
Gharama za mshahara zinapanda Kwasababu kila mwaka kuna ajira mpya
Kabisa
Na pia kuna watumishi wa kada tofauti wamepandishwa madaraja kwa kipindi hiki cha miaka4,
kumekua na uboreshaji wa utendaji uliopelekea kuboresha au kuanzishwa vitengo na idara mpya serikalini ambazo zimeongeza waajiriwa pia
Na kuna ulipwaji wa stahiki za watumishi ikiwa ni pamoja na likizo, malimbikizo, uhamisho na kadhalika.
Ukiwauliza wizara husika watakupa majibu sahihi
 
Chadema watapinga tu hawana jema hao
 

Lakini figures si zipo, kwa nini hazipatikani tunafanya guess work. Tupe idadi ya waliotumbuliwa na kiasi cha mishahara yao, then tupatie idadi ya watumishi hewa na mishahara yao. Ninavyofahamu mimi naweza nikawa sipo sahihi wafanyakazi walikuwa wanaendelea kupandishwa madaraja. Wakurugenzi 8 hata kama wanaendelea kulipwa kwa mwaka moja impact yao kwenye graph haiwezi kuwa kubwa kulinganisha na idadi ya waliokuwa na vyeti fake.

BTW unaweza kuweka time frame na ushahidi wa: 1. Ajira ilisimamishwa, 2. Madaraja yalisimamishwa au link kuangalia time frame.
 
Mataga ya uvccm yakikujibu unambie.
 
Tanzania ipi unaizungumzia mkuu? Tuanzie hapo kwanza maana inawezekana tunaishi nchi mbili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…