Swali la kijinga ingawa yeye ni mwerevu.....

Swali la kijinga ingawa yeye ni mwerevu.....

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,718
Pamoja na umri huu, lakini bado sifahamu mahakama za hapa bongo ni lugha gani ndo inatumika hata katika utetezi.... je ni English al maarufu kikristo au ni Kiswahili?......... Ni hayo wanasiasa wenzangu...

Najua wengine watagomba "ooh kijana unatuletea sheria kwenye siasa" ila ntawajibu hivi "LAW IS THE MOST CONCENTRATED FORM OF POLITICS"
 
Kiingereza au Kiswahili.... Swali lingine????
 
Mods tafadhali sana hapa wote tumebalehe kitambo sana acha mjinga aje na ujinga wake tutampima,habari ya kupunguza ukali wa maneno si sawa!atakayekiuka ataadhibiwa kwa BAN.By the way Davion Delmonte Jr. ni kafir anajaribu kuhubiri udini.Pole sana kwake ktk umri huu akizeeka atakuwa mchawi!
 
Back
Top Bottom