Pamoja na umri huu, lakini bado sifahamu mahakama za hapa bongo ni lugha gani ndo inatumika hata katika utetezi.... je ni English al maarufu kikristo au ni Kiswahili?......... Ni hayo wanasiasa wenzangu...
Najua wengine watagomba "ooh kijana unatuletea sheria kwenye siasa" ila ntawajibu hivi "LAW IS THE MOST CONCENTRATED FORM OF POLITICS"