Swali la kijiografia

Jmo

Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
17
Reaction score
2
Hellow!
ingawaje mimi ni mtaalam mdogo wa elimu ya jiografia, lkn utafiti wangu mdogo umenifundisha kuwa kuna uhusiano mkubwa wa kuandama kwa mwezi na mvua. kila muda mwezi ukitaka kuandama lazima mvua inyeshe au mawingu mazito yatokee, lakini mbalamwezi ikishang'aa sana mvua au hali ya mawingu inapotea au kupungua.
Je, kuna uhusiano wowote wa kijiografia kati ya mwezi na mvua kunyesha? Tafadhali msaada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…