NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Basi na wanaume wote waliokuwa gerezani wakitoka na wakazaa hao watoto nao watataikwa wadai fidia kwa sababu walikuwa baba zao wamefungwa wakati wao wakiwa mbegu za uzazi katika korodani za baba zaoMama amefungwa Gerezani miaka kadhaa akiwa na mimba au akiwa na mtoto mchanga wa siku moja.
Je, mama akifungwa si itakuwa mtoto naye atakuwa kifungoni wakati hana kosa? Mtoto akikua ana haki ya kudai fidia kudai kufungwa bila makosa?
Elewa anayetunza mtoto ni mama.Baba haingii na mimba gerezani kwa hiyo hawezi kuzaa.Zile mbegu unazosema ziko kwenye korodani hazijawa kiumbe bado bado ziko kwenye haploid number of chromosomes.Baba hawezi kujifungua akiwa gerezani use logicBasi na wanaume wote waliokuwa gerezani wakitoka na wakazaa hao watoto nao watataikwa wadai fidia kwa sababu walikuwa baba zao wamefungwa wakati wao wakiwa mbegu za uzazi katika korodani za baba zao
Mmmh jf kuna vipuriBasi na wanaume wote waliokuwa gerezani wakitoka na wakazaa hao watoto nao watataikwa wadai fidia kwa sababu walikuwa baba zao wamefungwa wakati wao wakiwa mbegu za uzazi katika korodani za baba zao