[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli itaendelea kufua Umeme lakini Umeme hauto "Takata".
sijakuelewa hatakidogo kwa mimi HGL ila nadhani umejibu kitaalamuMotor haifui umeme,motor inabadili nguvu za umeme kuwa nguvu za mitambo.Kinachofua umeme ni Generator, Transformer kazi yake ni kupokea umeme na kustep-down au kustep-up kulingana na mahitaji.
Tukirudi kwenye swali lako(ingawa hukulipangilia vizuri) kwenye terminal box ya motor,zile terminal ukiangalia hua zinakua 6 U1,V1,W1kwa terminal za juu na W2,U2,V2 terminal za chini. Na mara nyingi ukiona mpangilio huo wa terminal ujue style iliyotumika kusuka windings za motor hiyo ni Star Connection (Y) hivyo kitendo cha kutape wire na kuzirudisha juu utatengeneza short circuit.Tukija kwenye motor yenye terminal 3 hii style iliyotumika kusuka windings huitwa Delta(∆) na ukitape wire pia ukazirudisha juu waweza tengeneza short circuit na hiyo connection unayosema haina maana yoyote ktk tasnia ya umeme.Ingawa ukiweza kuidentify phase 1,2,3 kwa mpangilio motor itazunguka ingawa kama nilivyosema connection hiyo haina maana yoyote ila kama ni majaribio tu.
Hapa umezungumzia motor za three phase, na si kweli kwamba ukitoa waya kwa nje utasababisha short circurt labda kama ww unayetoa waya nje si mtaalam wa umeme, kwa sababu kwenye motor kuna Winding ambazo huwa zina starting point na ending point ndio maana unaona U1U2 V1V2 na W1W2 halafu kwenye connectioon ni kwamba motor zote zinakuwa na name plate kwasababu motor inaweza kuwa connected kwenye star au delta connection, kwahiyo cha msingi ni kuangalia kama plate inasema delta connection ni 415V hiyo motor inaweza kuwa connected kwenye star and Delta connection ila kama imekuwa named 415Y maana yake hiyo ni maalumu kwa star connection pekee lakini vilevile unaweza kuta motor imekuwa named 415delta na 250 Y maana yake Motor hiyo itafungwa delta conn kama una supply 415 ila kama supply iko 250 ambayo mara nyingi ni american standard power supply ya three phase basu itafungwa kwenye star connection kwa nchini kwetu kamwe hutaweza kuifunga kwenye star connection sababu supply yetu iko kwenye 415V vinginevyo uifunge Y kwenye single phase kwa support ya Capacitor japo efficiency yake haitakuwa katika ubora unaotakiwa.Motor haifui umeme,motor inabadili nguvu za umeme kuwa nguvu za mitambo.Kinachofua umeme ni Generator, Transformer kazi yake ni kupokea umeme na kustep-down au kustep-up kulingana na mahitaji.