Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
hapo hakuna cha haus girl wala ndung yangu tunabaki wawili mm na yeye naamin kwavile huo ni ugonjwa umempata mwenzangu nitahakikisha nayamudu majukumu yangu ya nyumbani kwa muda nikiwa natafuta njia ya kumaliza hilo tatizo, naamini ufumbuzi utapatikana kwan halikuwepo awali,limeibuka on the way,nitaanza na kutafuta chanzo cha tatizo nikianza na mimi mwenyewe, then yeye na ninishindwa nitashirikisha watu wazima wa karibu yetu wanisaidie mpaka nihakikishe napata solution.
There must be something wrong thats why he is behaving that
mi hata cwez kusubiri mpaka watembee wote nikiona tu dalili ya mvua kabla hata ya mawingu kutanda juu zen kunyesha iyo mvua mm namtimua huyo binti zen huyo mume atakoma na mm sasa mana najua azabu za kumpitia mpaka angejuta kunioa