MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Tangu akiwa kindergarten. Ubongo wa mtoto unafanya vizuri sana kwa somo la hesabu akiwa mdogo. Wa kwangu nilianza kumfundisha hesabu akiwa 3 yrs (kindergarten), toka hapo alianza vizuri na kutoshuka kiasi cha walimu wake kumuita 'genius'.Form six
Mwisho wangu ni kujumlisha,kutoa,kuzidisha,kugawanya namba. Zikiingia herufi tu ndio mwisho wangu.Tuseme Mtoto wako anapenda hesabu Ile balaa na anataka msaada wa baba/ mama.
Je wewe Kama mzazi unaweza kumpigia namba mpaka darasa la ngapi bila kudesa?