Swali LA KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe?

Swali LA KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe?

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Swali la KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe?

Fundi magari. Fundi cherehani. Fundi ujenzi. Fundi umeme.

n.k.

Hudaiwa huku mitaani kwamba wale waliojifunza vyuoni "hujua ya vitabuni tu, lakini ukimleta mtaani, huwezi kumlinganisha na aliyejifunza kwa fundi mahala pa kazi "a.k.a Chini ya Mwembe." Ushawahi kusikia madai ya namuna hii? Madai haya ni ya urongo kwa kiasi gani?
 
Tatizo ni mitaala inayotumika , katika kufundishia imepitwa na wakati , ambayo haikidhi na soko la magari ambayo mengi kwa sasa yanatumia mfumo , wa umeme waksyi veta bado wanafundisha carbuletor ... Wakati tupo !! Ulimwengu wa magari mengi kutumia , sensor na kukagua kwa kutumia dignosis machine

sent from HUAWEI
 
Ili uwe fit kwenye Field yoyote lazima uwe Vizuri both theoretically and Practically Vingenevyo utakuwa kanjanja tu
 
Chombo cha moto unachotumia (cha binafsi au cha umma), huwa kinafanyiwa sevisi na matengenezo na mafundi wepi kati ya makundi hayo mawili?
 
Back
Top Bottom