princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
O..!,,Oi Inakuaje Wakubwa.?Ok ngoja niende moja kwa moja kwenye swali...Et Wanaume wenzangu Ukimsalimia dem/Madem Na unaona kabisa wamekusikia na wamekausha..Kuwa tu Mkweli Rohoni huwa unaongea vitu gani???
@ChaliiYaKijengeJuu.
@ChaliiYaKijengeJuu.