Swali la kizushi kwako Muungwana

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,034
Reaction score
2,117
Unajionaje katika Mazingira unayo ishi, je unaleta tija katika jamii yako?

Kama huleti tija unafikiri nani anapaswa kuleta tija kama sio wewe?

Je wajua nguvu kazi ya Taifa ni wewe? Badilika leo Taifa linakuitaji kudumisha Upendo na Juhudi be Positive.

Soma mazingira cheza na mdundo kwa faida ya kizazi chako na heshima kwa jamii yako, hakuna Mtu atakuwa mfano au kukumbukwa kwa Mabaya.

Mpende Mwenza wako na jifunze kuwa Mwanafunzi wake natumaini siku moja utakuwa Mwalimu wake.

Msubaa ni Maisha yangu siwezi kutengana nao, Amani kwa Mapusha wote wa reja reja Maana baada ya kazi napata utulivu A plus plus.

Kanyeeeeela nyeeela Mumo am off.
 
DAAAH SIJUI TUCHANGIE KIPI MKUU MANAKE NIMEJARIBU KUUNGANISHA MAUDHUI ILA NAONA KAMA NI KUFOSI NDOA YA MUSIBA NA MANGE
 
DAAAH SIJUI TUCHANGIE KIPI MKUU MANAKE NIMEJARIBU KUUNGANISHA MAUDHUI ILA NAONA KAMA NI KUFOSI NDOA YA MUSIBA NA MANGE
Mkuu muhimu ni kuleta tija katika jamii yako, je wewe katika jamii yako una mchango gani?

Unaiona wapi familia yako au jamii yako baada ya muda fulani? Be Positive
 
Umeanza vizuri ila mwishoni umevuruga sa sijui ndoumewaka teyari mkuu
Nisamehe bure Mkuu hivi vitu vina kaaga sana kichwani, muda mwingine najaribu kutengeneza mdundo kwa ushuuuzi wangu harafu nacheka balaa.
 

Sio bure we jamaa,
Relax,jipange,uje upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…