Swali la kizushi: Kwanini Irene Uwoya haweki picha za Dogo Janja instagram?

hata mi nmejiuliza ila jibu ni moja tu, kuna siku irene ata-change gia angani then janjaro awe single tena so anapima upepo kwanza kama ndoa inakiki au haikiki
 
Hata mimi Mama Gaude huwa hani-post Instagram, sijui anaona sina kiki.
 
Yaani kuna mtu na akili zake anaamini kabisa Dogo Janja kamuoa Irene Uwoya
Mange alisema haya kuwa watz wanapenda sana ubuyu
Mulivyomuangusha kwenye maandamano mkaanza kumtaka awape story nani wahusika kifo cha Masogonge khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…