Swali la kizushi: Siku ya kwanza wewe kusikia jina KIBAKA ulikuwa unafikiria nini?

Cassnzoba

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2022
Posts
3,661
Reaction score
6,913
Wakuu Merry Christmas kwenu

Siku ya kwanza wewe kusikia jina KIBAKA ulikuwa unafikiria nini??🤔🤔😅😅

Kwangu Mimi nilikuwa najua ni wazee wa kubaka tu😅 yaani wao wakikukuta kwenye 18 zao hamna maelezo wao ni Wanakubaka TU.

Vipi kwenu wakuu??
 
Casnzoba ndo ulimfundisha mtu mzima mwenzio kuntongoza ex wako. Akaenda akayaongea kama ulivyommezesha mpaka ex wako akajua hizi swaga za nani. We mtoto mbaya sana walahi
 
Wakuu Merry Christmas kwenu

Siku ya kwanza wewe kusikia jina KIBAKA ulikuwa unafikiria nini??🤔🤔😅😅

Kwangu Mimi nilikuwa najua ni wazee wa kubaka tu😅 yaani wao wakikukuta kwenye 18 zao hamna maelezo wao ni Wanakubaka TU.

Vipi kwenu wakuu??
Dosti ❤️.jpeg
 
Hahaha...umenikumbusha mbali sana wakati nikiwa mdogo kuna wimbo ulikua unaimbwa hivi " wanakijiji mlie mlie mlieee, wanakijini mlie mke wangu ni kibaka" sijui ulikua ni wa nani huo wimbo, sasa mimi kwa akili zangu za kitoto hilo neno kibaka lilikua linanichangaya sana maana nilikua najua kibaka=kubaka, sasa najiuliza sasa huyu mke wake anakuaje kibaka? Yaani anabakaje maana najua wabakaji ni wanaume tu au muimbaji alikosea, yaani nilikua na maswali mengi kichwani ila sithubutu kumuuliza mtu, nilikuwaga natamani kumuuliza mama ila wazazi wetu watoto wa 90's nilijua nitaishia kula mboko tu na nisipate ufafanuzi.
 
Aiseee hii Kali
Me akili yangu ilikuwa unajua kwamba wao ni kubaka tu watuu hakuna story nyingine
 
Back
Top Bottom