wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Wana jamvi mimi mwenzenu same time hua nakaaa najiuliza maswali nikiona sipati jibu ndo nawashirikisha kwa kupata ufafanuzi zaidi maana naaminigi sana j.f. kuna zaidi ya vichwa!!
Swali lenyewe ni hili!!!!
Hivi wakuu huko juu ya hii mbingu tunayoitizama hua kuna vitu gani!!au huko juu yake hivi kuna mbingu ingine tena au kuna nini!!!
Swali lenyewe ni hili!!!!
Hivi wakuu huko juu ya hii mbingu tunayoitizama hua kuna vitu gani!!au huko juu yake hivi kuna mbingu ingine tena au kuna nini!!!