Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
Rais anapovaa kofia mbili yaani "urais" na "ugombea urais" anatumia kofia moja ya "urais" ili kujihakikishia ushindi, hivyo kufanya uwanja kutokuwa sawa kwa wagombea wote! Japokuwa duniani hakuna utaratibu wa kujiuzulu wakati wa kugombea lakini logic inatuambia hivyo! Katiba ibadilishwe ili tuondokane na kuwepo kwa "rais mgombea!"