Swali la kizushi!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Hivi ingekuwa kila anayeshusha bao inaripuka fataki papapaaaa!je sehemu za mijini pangekuwaje!!
 
Du hii kali! na wale wenye tabia za kupiga asubuhi asubuhi ndio ingekua balaa..!
 
hahahaha watu wangebania magoli....:shut-mouth::shut-mouth::faint2:
 
Maana kila mtu ninayemsikia usikia wakisema wknd nina kidate!!
 
inamaana ht ikulu pangelia fataki!! mi cpo.
 
Sijui nyumba za uswahilini ambazo huwa na wapangaji wengi sizizo na paa ingekuwaje; ila uswahilini wajanja sana huwa kila mtu anawasha radio yake kwa sauti ya juu na hujitahidi kuwa na spika nzito hata ikiwezekana zile zilizotengenezwa kienyeji.
 
Tungekuwa tumeshazoea km wahindi wanavyo jamba jamba ovyooo
 
Mmmm watu mnafikiria!!
 
Ha ha ha!I ngekuwa raha sana maana mafumanizi yangekuwa rahisi sana uswahilini kwa wale wezi wa wake za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…