Swali la kizushi

Swali la kizushi

b wence

Senior Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
154
Reaction score
108
Ivi ni sahihi au sio sahihi wana ndoa kupeana salamu ya shikamoo?
 
Je mnadhani mke kumwambia mumewe "shikamoo" inaweza kujenga uoga..na salamu ya kawaida ikamfanya kuwa rafiki?
 
inategemea na mazingira ya ndoa mkuu, kama wameoana watu wa kabila moja ni rahisi sana ili kuwepo lakini tukikutana kiswahili zaidi(makabila tofauti) ipo ila inaugumu fulani
 
Back
Top Bottom