Swali la kizushi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Kwa mfano ukapelekwa juu ghorofani ukapandishwa hadi kule juu rotion ya 15 chini ukawekewa godoro la upana wa miter 50×50 na unene wa miter 20 na ukaambiwa urukie hilo godoro upewe milioni 5 je utaruka?
 
huu ni mfano sio uhalisia tutajibu kimfano mfano tu

kwa mfano sijaruka
 
Nitaruka baada ya wewe kunionyesha mfano
 
Hiyo mbona simple?mm nipe tu mil 2 nijikate nyeti zangu mwenyewe hadharani.
 
huyo anaenipa aruke yeye achukue hizo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…