Swali la kizushi....

Zuriel_cfc

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
4,092
Reaction score
9,063
Habari zenu wakuu..., poleni na shughuli za kutwa nzima ya leo...

Naomba kuuliza kwa wale wanaopost kutafuta wachumba humu ilihali hawana mpango/hawako serious.., hivi huwa mnawaza nini? Au huwa mnataka nini?

1. Je ni attention kutoka kwa members
2. PM zenu zifurike meseji
3. Au basi tu mna hulka za kusumbua na kucheza na akili za watu?

Hili ni kwa wote wake kwa waume wanaotangaza kutafuta wachumba wakati kiuhalisia hata hawana haja na hao wachumba..., ni nini hasa huwa mnataka?? Tujulisheni

Nawasilisha...

Mlale unono [emoji137][emoji137]
 
Swali la kizushi


Je wee umewahi kwenda pm ya hata mtu mmoja aliyesema anatafuta mchumba?!
 
umejuaje kama hawapo serious !huenda hakukupenda akavunga kistyle hiyo !mbn mie nimepata mume humu kwa desgn hyo !nilimfata pm alitoa tangazo nikadaka kichwa fasta
 
Swali la kizushi; wewe ulijuaje wanaotongoza wote hawapo serious
 
Tatizo ni kwamba anayetafuta hayuko serious na wewe unayempm hauko serious mara nyingi huwa inakuwa ni ngoma droo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…