Wang Shu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 2,562 Reaction score 3,715 Jun 9, 2020 #2 Maiti ni mtu/kiumbe mfu, aliekufa(kupoteza uhai)
Dick mrisho JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 303 Reaction score 568 Jun 9, 2020 Thread starter #3 Wang Shu said: Maiti ni mtu/kiumbe mfu, aliekufa(kupoteza uhai) Click to expand... Yax, sasa icho kiumbe kilichokufa kwa mujibu wa swali ni nani
Wang Shu said: Maiti ni mtu/kiumbe mfu, aliekufa(kupoteza uhai) Click to expand... Yax, sasa icho kiumbe kilichokufa kwa mujibu wa swali ni nani
Makanyaga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,129 Reaction score 7,321 Jun 9, 2020 #4 Dick mrisho said: View attachment 1472663l Click to expand... Mtoto=====A Maiti=======X Mke wa maiti======Y Kaka wa mke wa maiti======Z X (maiti) ni mume wake na Y Z ni kaka yake na Y Z ni mjomba wake na mtoto A A ni mtoto wake na Y, au Y ni mama yake na A Kwa hiyo Maiti ni Baba yake na mtoto
Dick mrisho said: View attachment 1472663l Click to expand... Mtoto=====A Maiti=======X Mke wa maiti======Y Kaka wa mke wa maiti======Z X (maiti) ni mume wake na Y Z ni kaka yake na Y Z ni mjomba wake na mtoto A A ni mtoto wake na Y, au Y ni mama yake na A Kwa hiyo Maiti ni Baba yake na mtoto