Swali la kizushi

njoro

Senior Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
178
Reaction score
8
Umemaliza chuo kikuu mwaka huu mwezi wa 6,haraka mwezi wa 7 ukapata kazi, matokeo ya semista ya mwisho yanapotoka ukakuta una SUPP, je utatoa sababu gani kwa waajiri ili kuondoka kwenda kufanya SUPP?
 
Mwambie una tatizo la ghafura akupe siku 4 ukaclear sup hyo!
 
He he he...nipm namba yako ya simu kesho nikupigie ukiwa ofisini nikutaarifu kuwa mama amezidiwa ghafla amelazwa hivyo unahitajika haraka nyumbani.
 
mbona simple tu, kamuone daktari akufunge pop ya mkono hapo wiki nzima

tufanye ya mguu kisha apewe gongo la kutembelea.
Duhh point zinatiririka ile mbaya yaani wabongo noma!
Kwani ukiweka wazi atakuzuia?.
UKWELI UTAWAWEKA HURU waajiri wengine hawajasoma na wengine ni waelewa ukisema kweli unaonekana mwaminifu tu fikiri likibumburuguka itakuwaje?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…