Swali la kuzushi

Swali la kuzushi

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Wote tunajua kuwa huko juu (space) kuna zero gravity.
Je watu wanaweza fanya mapenzi wakiwa huko juu?
 
Kweli hili ni swali la kuzushi......maana ubongo wako ulikuwa unataka kuandika ''kizushi'' ila vidole vika ku''kuzushi''ahahahahaha aaaaaaaaahahahaha
 
heeheheh, yes ni Kizushi sorry, maana nina taka kufanyia honey moon mwezini. furaha imezidi
 
Kusema kweli nadhani itakua vigumu maana kwa kuweza kufanya organized moves unahitaji a standing point. Kama unaweza kupeleka mguu wa lulia mbele ni sababu wa kushoto umesimamia chini. ila kama ukitupwa in the space utaweza kutikisa miguu yote bila kwenda mbele. the same applies to all coordinated moves.
Ila kama uko ndani ya space ship na unachukulia ukuta mmoja (wa juu, wa chini au wa kando) unaweza jaribu ila results hazitakua impressive.
 
Nitajenga kanisa huko, maana watu watakuwa hawatendi dhambi
 
Back
Top Bottom