Swali la mjadala , kiswahili kuwa lugha ya kufundishia ngazi zote za elimu

Swali la mjadala , kiswahili kuwa lugha ya kufundishia ngazi zote za elimu

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Hujambo mshika dau muhimu Leo nimekuletea swali la mjadala , je unafikiri nikwanini viongozi wetu, wadau, na watumiaji Wa lugha ya kiswahili wanaogopa kukipitisha kiswahili kuwa lugha ya kufundishia katika ngazi zote za elimu?

Info.masshele@gmail.com
+255766605392
 
Tupe msimamo wako kwanza ukiambatanisha na hoja zilizoshiba.
 
Tatizo sio maamuzi ila ni muda muafaka ...walimu gani watafundisha kwa kiswahili au walewale walioandaliwa kufundisha kwa kingeli...je tumeshatafsiri au kuandika vitabu kwa kiswahili na je vinatosheleza mahitaji yetu ...bado muda muafaka haujafika ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Afrika kusini walikosema wataajiri walimu wa kiswahili cijui kama tutafanikiwa...kwa sababu wanaua wafanuakazi wasio wenyeji wa nchi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom