Hujambo mshika dau muhimu Leo nimekuletea swali la mjadala , je unafikiri nikwanini viongozi wetu, wadau, na watumiaji Wa lugha ya kiswahili wanaogopa kukipitisha kiswahili kuwa lugha ya kufundishia katika ngazi zote za elimu?
Tatizo sio maamuzi ila ni muda muafaka ...walimu gani watafundisha kwa kiswahili au walewale walioandaliwa kufundisha kwa kingeli...je tumeshatafsiri au kuandika vitabu kwa kiswahili na je vinatosheleza mahitaji yetu ...bado muda muafaka haujafika ndugu yangu