Swali la Msingi...k

Swali la Msingi...k

mihadarati

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
268
Reaction score
74
Wanajamvini habari za leo?
Kuna Swali ambalo nahitaji tulijadili hapa kwa pamoja,ni jinsi gani wafanyabiashara wakubwa wanaweza kuwainua wafanyabiashara wadogo?

Ni chaini kama hiyo ya kiuchumi inawezekanaje?
Ahsanteni wadau.
 
Back
Top Bottom