Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Wana Ukumbi,
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu, kumekuwa na trend ya baadhi ya watu hasa wale wanaopenda "kuonekanwa" kujitokeza na kupinga ongezeko la posho kwa wajumbe wa bunge la katiba....sasa swali langu kwao na watu wote hapa JF ni kuwa
1) Kwa nini watu wanapinga posho isiongezwe?
2) Je hiyo pesa ambayo haitaongezwa ni yupi miongoni mwetu anajua itapelekwa kwenye jambo lipi la maendeleo...litaalomgusa mwananchi moja kwa moja?
Na kama hamjui hiyo pesa mtakayoiokoa itakavyotumika, kwanini basi isiende kwa wajumbe wa bunge la katiba ikawasaidia wao na familia zao?!!!
Ushauri wangu: Wale wanaopinga ongezeko la posho ni bora waainishe kiwango cha pesa kitakachookolewa, na wapi itaelekezwa........wakishindwa, nawashauri wakae kimya....
Msimamo wangu: Ninaunga mkono pesa iongezwe li iendane na uhalisia wa maisha, afterall hata wakipinga isiongezwe hakuna anayejua wapi itapelekwa hiyo pesa iliyookolewa........Waacheni watanzania wenzetu wapate fursa..
Anyway ni hayo tu.
Mwana ADC
Tume ya katiba