incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Yaleyale ya watafiti,wenyewe wametuambia kila penye waTZ wa4 mmoja ni chizi je, wao tunawaweka wapi ikiwa walikuwa 10 na ni watanzania pia ???Et kati ya mamba na Kiboko ni nan kiboko??
Mtu anaetumia 1% ya akili yake huyo ni genous bro!Watanzania hutumia asilimia moja ya akili zao kufikiri.
Tatizo lenu hamjamuelewa alipo sema mamba na kiboko nani ni kiboko.alikuwa ana maanisha nani ana mzidi mwenzake au anayeogopwa sana na mwenzake au wanyama wengine n.k.jibu mamba ana muogopa kiboko.na mamba hawezi kumla kiboko na ikitokea mamba kamchokoza kiboko au alikuwa ana msumbua mtoto wa kiboko.patachimbika mtoni.
Nadhan mkuu hao wote walioshiriki kushambulia ndo wapimwe ubongo wao maana nahis darasan wote wanaweza kupata ziro kwa kukurupuka bila kuelewa swali "hongera sana mkuu ww ni clitical thinkerTatizo lenu hamjamuelewa alipo sema mamba na kiboko nani ni kiboko.alikuwa ana maanisha nani ana mzidi mwenzake au anayeogopwa sana na mwenzake au wanyama wengine n.k.jibu mamba ana muogopa kiboko.na mamba hawezi kumla kiboko na ikitokea mamba kamchokoza kiboko au alikuwa ana msumbua mtoto wa kiboko.patachimbika mtoni.
Mkuu nimeamin watanzania wng jf walipta ziro maana hawaelewi swal wanakurupuka kujibu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Uwezo wa kufikiri wa watz ni mdogo sana. Badala ya kujibu swali wamemshambulia.
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]Nadhan mkuu hao wote walioshiriki kushambulia ndo wapimwe ubongo wao maana nahis darasan wote wanaweza kupata ziro kwa kukurupuka bila kuelewa swali "hongera sana mkuu ww ni clitical thinker
We umeona nanii Hapo?Kichaa ni nani sasa hapa?
We umeona nanii Hapo?Kichaa ni nani sasa hapa?
We umeona nanii Hapo?Kichaa ni nani sasa hapa?