Kweli tanzania bado tuko nyuma. Hii yote ni kutokana na kubadilishwa mara kwa mara mitaala ya elimu. Siku hizi watu hawataki kuchukua muda wa kutafakari na kuelewa swali wao wako haraka kujibu kama kauli mbiu yao.
Hapo inategemea na mazingira. Kila mmoja anaweza kuwa hodari kutokana na hali halisi ya muda huo ingawaje wao kwa wao wanayomipaka yao wanapokuwa katika dimbwi moja.