Kwanza Cha kuangalia Siku zote ni chanzo cha Habari..
Pili ni Uhakiki wa Video au Picha....
Picha au video zilizotengenezwa kwa AI mara nyingi huwa na alama za kutofautisha na alama za kawaida kama vile vidole vya mikono visivyokuwa sawa, maandishi yasiyoeleweka, au mwanga usio wa Kawaida yaa ni wa ajabu ajabu tu..
Na Baadhi ya Vitu haviko katika Mpangilio.ulio sahihi..
Kama ni video angalia movements za Objects au watu au wanayama utagundua Hakuna NORMAL movements..
Maudhui au Taarufa iliyotengenezwa kwa AI Huwa inakuwa ina Lugha isiyo na Makosa Kisarufi yaanj lugha iliyo clear tofauti na Ile taarifa iliyotengenezwa kiuhalisia..