Swali la Siku: Taarifa gani ulisikia kabla ya kujiunga Sekondari ambayo baadaye ulibaini kuwa Potofu?

JamiiCheck

Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
98
Reaction score
122
Wanaofanya Upotoshaji huwa wana lengo walilokusudia kulitimiza hivyo hawaachi wala kuchoka kufanya Upotoshaji wa Taarifa.

Ili kujikinga dhidi ya Upotoshaji, ni muhimu kufanya Uhakiki wa kila Taarifa unayokutana nayo.

1730122620996.jpeg
 
Kipindi naenda kusoma Azania secondary niliambiwa kutoka kwa watu kuwa kila weekend kunakuwa na mziki mnene A.k.A school bash ila nilivyofika wala sikuwahi kuona tukio hilo la mziki kila weekend.
 
Ukawa umejindaa kwa disco 🙂
 
Wanaofanya Upotoshaji huwa wana lengo walilokusudia kulitimiza hivyo hawaachi wala kuchoka kufanya Upotoshaji wa Taarifa.

Ili kujikinga dhidi ya Upotoshaji, ni muhimu kufanya Uhakiki wa kila Taarifa unayokutana nayo.

Niliambiwa Kuna hesabu zinaitwa Log ni balaa lakini kumbe ni mdebwedo
 
Back
Top Bottom