JamiiCheck
Member
- Nov 3, 2023
- 98
- 122
Novemba 14 ni siku ya Kisukari Duniani ikilenga kuongeza uelewa kuhusu Ugonjwa huo na umuhimu wa kuzuia na kudhibiti hali hii.
Kumekuwapo na Taarifa nyingi kuhusu ugonjwa huu, zikiwepo Sahihi na Zinazopotoshwa.
Je, Taarifa gani unahitaji kujua Uhalisia wake kuhusu Ugonjwa wa Kisukari?
Pia soma:Swali la Wiki: Jambo gani kwenye Siasa na Chaguzi unahitaji kujua Uhalisia wake?