JamiiCheck Member Joined Nov 3, 2023 Posts 98 Reaction score 122 Nov 14, 2024 #1 Novemba 14 ni siku ya Kisukari Duniani ikilenga kuongeza uelewa kuhusu Ugonjwa huo na umuhimu wa kuzuia na kudhibiti hali hii. Kumekuwapo na Taarifa nyingi kuhusu ugonjwa huu, zikiwepo Sahihi na Zinazopotoshwa. Je, Taarifa gani unahitaji kujua Uhalisia wake kuhusu Ugonjwa wa Kisukari? Pia soma:Swali la Wiki: Jambo gani kwenye Siasa na Chaguzi unahitaji kujua Uhalisia wake?
Novemba 14 ni siku ya Kisukari Duniani ikilenga kuongeza uelewa kuhusu Ugonjwa huo na umuhimu wa kuzuia na kudhibiti hali hii. Kumekuwapo na Taarifa nyingi kuhusu ugonjwa huu, zikiwepo Sahihi na Zinazopotoshwa. Je, Taarifa gani unahitaji kujua Uhalisia wake kuhusu Ugonjwa wa Kisukari? Pia soma:Swali la Wiki: Jambo gani kwenye Siasa na Chaguzi unahitaji kujua Uhalisia wake?
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Nov 14, 2024 #2 Gangrene.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Nov 14, 2024 #3 Ndio.