Swali la Siku: Umewahi kununua bidhaa ukagundua muuzaji alitumia Taarifa Potofu kukushawishi?

Swali la Siku: Umewahi kununua bidhaa ukagundua muuzaji alitumia Taarifa Potofu kukushawishi?

JamiiCheck

Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
98
Reaction score
122
Baadhi ya wafanyabiashara hutumia Taarifa Potofu kutangaza bidhaa ili kuwashawishi wateja kununua. Wateja baada ya kununua, huweza kugundua walipotoshwa, na wakati mwingine, kutumia bidhaa hizo husababisha madhara

Kabla ya kununua na kutumia, ni muhimu Kuhakiki Usahihi wa Taarifa za bidhaa
 
Tatzo ni uchumi wetu mdogo sana,lazima tupate maronya ya Kila aina ya bidhaaaa.
Hivi tunataka TV inch 55 ya Samsung/LG kwa laki6 unategemea nn?
Watu wanataka kuuza lazima watoe wrong information kulingana na uhitaji wako(CHEAP and ORIGINAL BRAND)
 
Back
Top Bottom