Baadhi ya wafanyabiashara hutumia Taarifa Potofu kutangaza bidhaa ili kuwashawishi wateja kununua. Wateja baada ya kununua, huweza kugundua walipotoshwa, na wakati mwingine, kutumia bidhaa hizo husababisha madhara
Kabla ya kununua na kutumia, ni muhimu Kuhakiki Usahihi wa Taarifa za bidhaa