SWALI LA UELEWA: Timu ikichukua Kombe ambalo haibebi moja Kwa moja ikilirudisha inabaki na kumbukumbu gani?

Unatoa mifano ya mbaaaaaaaaali wakati ya karibu ipo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

SIMBA SC KABEBA MARA NNE MFULULIZO,LIPO LIMETULIA TULIIIIIIIIIIIII[emoji91]
 
Unatoa mifano ya mbaaaaaaaaali wakati ya karibu ipo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

SIMBA SC KABEBA MARA NNE MFULULIZO,LIPO LIMETULIA TULIIIIIIIIIIIII[emoji91]
Hivi Mimi nimekosea nini mpaka unihukumu Mkuu?
 
Wanalipiga picha, wanahifadhi kwenye ALBUM.
 
Jibu lako hili hapa, jaribu kutembelea ma shelf ya real Madrid au timu nyingine yoyote iliyochukuwa uefa au kombe lolote kubwa.
 
Copying inaruhusiwa kwa klabu iliyochukua kombe kwa ajili ya kuweka kumbukumbu.

Mshindi wa pili haruhusiwi kukopi.
 
Unabaki na picha.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Jibu lako hili hapa, jaribu kutembelea ma shelf ya real Madrid au timu nyingine yoyote iliyochukuwa uefa au kombe lolote kubwa.View attachment 2634238View attachment 2634239View attachment 2634240
Ndiyo maana nikasema mashindano yanatofautiana sheria na kanuni zake. Bingwa wa Mapinduzi Cup huwa anarudisha kombe? Bingwa wa ligi kuu ya Tanzania huwa anarudisha kombe?
Ila sheria za CAF zinasema wazi kombe la CL baada ya muda unalirudisha, utalichukua moja kwa moja pale tu ukishinda mara tatu mfululizo.

Ninachodhani mimi mashindano ya ligi za ndani duniani kote huwa kila msimu wanatoa kombe jipya. Hata UEFA ukiliangalia kombe lenyewe lilivyo sidhani kama limetengenezwa kwa gharama kihivyo kwa hiyo sitashangaa kukuta wanatoa jipya kila msimu.
 
Mnapewa copy siu hio hio mkisha malisha kupiga nalo picha uwanjani, kwa kifupi now day copy wanakuwa nayo uwanjani siku hio na mnakabidhiwa nyuma ya kamera
 
Mnapewa copy siu hio hio mkisha malisha kupiga nalo picha uwanjani, kwa kifupi now day copy wanakuwa nayo uwanjani siku hio na mnakabidhiwa nyuma ya kamera
Asante Kwa taarifa Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…