Ni mara nyingi najiuliza ninani anapaswa kusema asante kwa mwenziye wanapomaliza ile kazi kubwa ya wawili wapendanao mume na mke,bf na gf nk namaanisha tendo la ndoa na asante inaweza kuwa busu,asnte ya mdomo asante ........wangu au kuangua kilio.naomba majibu ya pande zote mbili.
asante na wakilisha
Na kwa walioko kwenye ndoa, mbona asante itakinai sasa! Kwa bf na gf friend inaweza leta maana fulani, lakini kwa wanandoa napata kigugumizi kidogo ........
Mimi ni me nafurahi kwa majibu mwenzangu anasikia raha nimbusu anapofikia mshindo na anaweza poteza fahamu kama sekunde tano na usingizi juu.mie nlijua anatakiwa anambile asante mume wangu kumbe wote wacha nianze kulifanyia kazi